Skip to main content
Skip to main content

Shughuli za elimu zatatizika kwa sababu ya ukosefu wa pesa

  • | Citizen TV
    257 views
    Duration: 2:44
    Serikali imendelea kushinikizwa kutoa fedha za kufadhili shule za upili na msingi kwani kuendelea kucheleweshwa kwa fedha hizo kunaendelea kulemaza utendakazi wa shule mbali mbali hali ambayo huenda ikaathiri hata matokea ya wanafunzi mwishoni mwa mwaka.