- 25,785 viewsDuration: 4:07Shughuli za uokoaji katika jumba lililoporomoka mtaani eastleigh hapa Nairobi zimeingia siku ya saba leo, huku waokoaji wakifikia vyumba vya mwisho vya chini . Ingawa tangu juzi vifaa vya kielektroniki vilionyesha kuwa wapo watu wawili ambao wangali hai chini ya vifusi, bado hawajafikiwa.