- 29,807 viewsDuration: 1:13Baadhi ya viongozi wa Chama cha Linda Mwananchi kutoka kaunti ya Kakamega wameendelea kukosoa utawala wa rais William Ruto, wakimsuta kwa madai ya kufeli kutekeleza ahadi zake kwa wakazi wa eneo pana la magharibi wakiapa kuunga mkono Kiongozi wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna kung'atua rais William Ruto mamlakani.