Skip to main content
Skip to main content

Siha na maumbile | Equity Bank yawezesha hospitali za Komarock kupata vifaa vya kisasa vya matibabu

  • | Citizen TV
    1,363 views
    Duration: 5:33
    Kwa hospitali ama kituo cha afya kuweza kutoa huduma bora za matibabu, vifaa vya kisasa vya matibabu ni muhimu sana pamoja na wataalamu wenye ujuzi. Hata hivyo, upatikanaji wa vifaa hivyo umekuwa changamoto kubwa kutokana na gharama ya juu ya kuvinunua. Katika makala ya Siha na Maumbile wiki hii, Dkt. SK Nyamu wa Hospitali za Komarock Modern Healthcare anaeleza jinsi Benki ya Equity inavyosaidia hospitali hizo kununua vifaa mbalimbali vya kisasa ambavyo kwa kiwango kikubwa vimeboresha utoaji huduma kwa wagonjwa na kurahisisha upatikanaji wa matibabu ambayo awali yalikuwa changamoto kwao.