- 1,762 viewsDuration: 2:39Leo ulimwengu unaadhimisha siku ya kina baba na kama ada, siku hii huadhimishwa kuwasherehekea kina baba kwa jukumu la kulinda na kuwajibikia familia zao. Hata hivyo, kuna kina baba wanaofanya zaidi ya jukumu hili. Kwa baba Kinyanjui Muchai, jukumu la kumlea mwanawe mwenye mahitaji maalum, limempa nafasi tofauti ya ulezi wa wanawe watatu. Brenda Wanga anaangazia safari ya baba huyu, ulimwengu unapowakumbuka kina baba