6 Nov 2026 1:14 pm | Citizen TV 427 views Duration: 1:09 Mahakama ya Kapenguria imemwachilia Spika wa bunge la kaunti ya Pokot Magharibi Fredrick Kiptui, kwa dhamana ya shilingi milioni 12 au shilingi milioni sita pesa taslimu.