- 12,975 viewsDuration: 33sKatika taarifa zetu za jana, tulitaja kimakosa kijiji ambako polisi katika eneo la Isinya, kaunti ya Kajiado, walifukua mwili wa mwanamke anayedaiwa kuuawa na kuzikwa nyumbani kwake. Tukio hilo lilifanyika katika kijiji cha Sholinge na wala si Entarakuet. Tunaomba radhi kwa mkanganyiko huo na kwa mmiliki wa mkahawa wa Entarakuet. Tunafafanua kuwa tukio hilo halikufanyika katika mkahawa huo wala maeneo ya karibu nao.