- 323 viewsDuration: 2:15Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola umeripotiwa katika Democratic Republic of the Congo huku hofu ikiongezeka katika ukanda wa Afrika ya Kati na Mashariki. Nchi jirani ya Uganda pia imeripoti kisa kimoja kilichohusishwa na maambukizi kutoka DRC, hali iliyochochea Kenya kuweka tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari. Watu 65 wamefariki nchini DRC tangu mlipuko wa ugonjwa huo kuanza.