Skip to main content
Skip to main content

Tahadhari ya El Niño yatolewa kabla ya msimu wa mvua za vuli

  • | Citizen TV
    13,040 views
    Duration: 1:00
    Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini imetoa tahadhari ya uwezekano wa mvua ya elnino katika msimu wa mvua za vuli zinazotarajiwa kunyesha kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba. Idara hiyo imesema hali hiyo itasababisha mabwawa ya seven folks kujaa kupita kiasi na mto tana kusababisha mafuriko katika maeneo yaliyoko karibu na mto. Idara hiyo imesema inashirikiana na kaunti mbalimbali na serikali kuu kuweka mikakati ya kudhibiti athari za mafuriko yanayotarajiwa.