Skip to main content
Skip to main content

Taharuki yatanda Moyale huku maelfu ya Waethiopia wakikimbilia Kenya

  • | Citizen TV
    24,263 views
    Duration: 3:59
    Hali ya taharuki imeendelea kutanda katika eneo la Moyale, Kaunti ya Marsabit, kufuatia mapigano yanayoendelea nchini Ethiopia, ambayo yamesababisha maelfu ya raia wa Ethiopia kukimbilia nchini Kenya kutafuta hifadhi.