Skip to main content
Skip to main content

Taita Taveta: Wanaume, tusaidie kwa afya ya hedhi na kuondoa unyanyapaa kwa wasichana

  • | TV 47
    99 views
    Duration: 5:09
    "Wanaume wengi hatutilii maanani masuala ya hedhi yanayowahusu wake na watoto wetu wa kike. Ni muhimu tuwape fedha za kununua taulo za hedhi na kuhakikisha bidhaa hizo zinapatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu. Vilevile, tuunge mkono elimu na uhamasishaji kuhusu afya na usafi wa hedhi ili kuondoa unyanyapaa katika jamii." - Mkazi, Taita Taveta #TV47SaaTano #StoryNiYetu Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __