Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa shambulizi la asidi afariki kwa kutatanisha Nairobi

  • | Citizen TV
    23,012 views
    Duration: 2:01
    Mshukiwa mkuu wa shambulizi la asidi dhidi ya mwanamke hapa Nairobi Elvis Opiyo amefariki kwenye kisa cha kutatanisha. Opiyo aliyekuwa afisa wa ujasusi amepatikana akiwa amefariki katika nyumba yake ya kupanga mtaani Umoja. Ripoti ya uchunguzi wa mwili imeonyesha kuwa alifariki baada ya kuathiriwa na sumu ila ripoti ya polisi imeripoti kuwa alijitoa uhai