Skip to main content
Skip to main content

'Dunia kupototeza mvuto kwa sekunde saba'

  • | BBC Swahili
    20,323 views
    Duration: 56s
    Baadhi ya machapisho katika mitandao ya kijamii yanaamini, huenda tarehe 12 Agosti 2026, nguvu ya uvutano wa Dunia "itashindwa kufanya kazi" kwa sekunde saba kutokana na shughuli zinazohusiana na mashimo meusi (black holes). Uvumi huo unahusishwa na madai kuhusu mpango wa siri wa NASA unaoitwa "Project Anchor" na maonyo kuhusu matokeo mabaya. Hata hivyo, NASA inasema madai haya si ya kweli. Mwandishi wa BBC na taarifa zaidi @sarafinarobi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw