Skip to main content
Skip to main content

Trump afichwa kwenye kitoroli

  • | BBC Swahili
    79,621 views
    Duration: 2:08
    Rais wa Marekani Donald Trump inadaiwa alitolewa kwa siri Uturuki baada ya maafisa wa usalama kupata taarifa za tishio dhidi ya maisha yake. Ripoti zinasema Trump aliondolewa kwenye ndege aliyokuwa ameonekana akipanda, akafichwa kupitia kitoroli cha chakula, kisha kuingizwa kwenye ndege ya kijeshi kuelekea Uingereza. Baadaye aliingizwa kwenye Air Force One na kuendelea na safari ya Marekani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw