Skip to main content
Skip to main content

Tazama taharuki na namna Trump alivyoondolewa kwenye shambulio Washington

  • | BBC Swahili
    35,010 views
    Duration: 26s
    Rais wa Marekani Donald Trump aliondolewa haraka na kupelekwa mahali salama kutoka kwenye hafla ya Waandishi wa habari wa Ikulu baada ya milio ya risasi kusikika katika eneo la tukio. Mamlaka za usalama zimethibitisha kuwa rais, mke wake na watu wote wanaolindwa wapo salama, baada ya milio ya risasi saba hadi nane kufyatuliwa. #bbcswahili #marekani #Washington Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw