Skip to main content
Skip to main content

Teknolojia ya helikopta kubaini vyanzo vya maji ya chini ya ardhi Kajiado

  • | Citizen TV
    2,738 views
    Duration: 1:43
    Teknolojia mpya inayotumia helikopta kuchunguza maji ya chini ya ardhi inaanzishwa katika kaunti ya kajiado, hatua inayolenga kusaidia kubaini maeneo yenye uwezekano wa kupata maji, kina chake na kuwezesha mipango bora ya usambazaji wa maji kwa wakazi.