- 874 viewsDuration: 5:50Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi asema kuwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani wakuwa wakitoa taarifa za kupotosha kwa wakenya kuhusu mswada wa fedha wa mwaka wa 2026 ambao wapitishwa na bunge la kitaifa. Waziri john Mbadi asema kuwa wafanyibiashara wa mitumba wangepata nafuu ya ushuru iwapo mapendekezo yaliyokuwemo kwenye mswada huo awali hayangeondolewa.