6 Nov 2026 1:49 pm | Citizen TV 3,369 views Duration: 1:45 Timu ya taifa ya raga ya wasichana ya Kenya chini ya umri wa miaka 18 rising Lionesses imerejea nyumbani leo baada ya kuandika historia kwa kunyakuwa medali ya dhahabu kwenye michezo ya olimpiki ya vijana nchini Senegal.