Skip to main content
Skip to main content

Trump amshambulia Papa Leo juu ya Iran

  • | BBC Swahili
    16,289 views
    Duration: 30s
    Donald Trump amemkosoa vikali Papa Leo XIV kwenye mitandao ya kijamii baada ya kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani kulaani tishio la rais wa Marekani dhidi ya Iran. Katika chapisho refu kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social, rais huyo wa Marekani aliandika "Papa ni mbaya kwa Sera ya Kigeni". #bbcswahili #marekani #TrumpnapapaLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw