- 27,243 viewsDuration: 5:32Marekani imesema leo itakuwa siku yake kali zaidi ya mashambulizi ndani ya taifa la Iran. Kauli hiyo kutoka kwa waziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth, inafuatia tishio la Rais Donald Trump la kuleta "kifo, moto, na ghadhabu" kwa Iran ikiwa itaendelea kuzuia usafirishaji wa mafuta katika eneo hilo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw