- 269 viewsDuration: 1:22Tume ya huduma ya walimu yatia saini mwongozo mpya wa kuendelea na kazi ambao yatarajiwa kuwapa walimu nafasi zaidi za kupandishwa vyeo, na kukomesha kile wanachotaja kama ukwamishaji wa maendeleo ya vyeo kutokana na makubaliano ya mwisho waliyotia saini mwaka wa 2018.