- 0 viewsTume ya kuwaajiri walimu TSC yatia saini mwongozo mpya wa kuendeleza taaluma ambao unatarajiwa kuwapa walimu nafasi zaidi za kupandishwa vyeo, na kukomesha kile wanachotaja kama ukwamishaji wa maendeleo ya vyeo kutokana na makubaliano ya mwisho waliyotia saini mwaka wa 2018.