Skip to main content
Skip to main content

“Tuliwakata miguu ndio watoke kwa mawe,” vibarua wa kuchimba Migodi Pokot Magharibi wameelezea

  • | NTV Video
    2,901 views
    Duration: 2:36
    Vibarua wakuchimba Migodi katika Mlima wa Romos, katika Kaunti ya Pokot Magharibi, wameelezea masaibu waliopitia kujaribu kuwaokoa wenzao baada ya kuporomokewa na mawe siku ya Alhamisi ambapo watu Kumi na 15 waliofariki huku wengine wakijeruhiwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya