Skip to main content
Skip to main content

Tume ya EACC yarejesha ardhi ya umma ya shilingi milioni 40 iliyonyakuliwa Kakamega

  • | Citizen TV
    599 views
    Duration: 54s
    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC, imefanikiwa kurejesha ardhi ya umma yenye thamani ya shilingi milioni 40, iliyokuwa imenyakuliwa karibu na Ikulu Ndogo ya Kakamega.