Skip to main content
Skip to main content

Tume ya haki za binadamu yataka heshima ya haki wakati wa maandalizi ya El Niño

  • | Citizen TV
    711 views
    Duration: 3:06
    Tume ya kitaifa ya Haki za binadamu imeitaka serikali kuhakikisha kuwa haki za kimsingi za binadamu hazikiukwi katika maandalizi na mipangilio ya kupambana na athari za mvua ya El Niño inayotarajiwa kati ya Oktoba na Desemba huu. Tume hiyo imeshutumu jinsi waathiriwa wa mafuriko ya miaka ya awali walivyolazimishwa kuhama bila kuzingatia haki zao. Haya yanajiri huku gavana wa Nairobi Johnson Sakaja akiamuru kuhama kwa wakazi wanaoishi katika maeneo ya mto. Serfine Achieng’ Ouma ana maelezo zaidi.