- 336 viewsDuration: 1:27Suala la kaunti kuwa na akaunti nyingi za benki limeibuka wakati tume ya ugavi wa mapato CRA ilifika mbele ya kamati ya seneti kuhusu fedha na bajeti kutoa mapendekezo ya mswada wa usimamizi wa fedha za umma. akizungumza mbele ya kamati hiyo, mwenyekiti wa CRA Mary Wanyonyi Chebukati amesema tume hiyo haina uwezo wa kudhibiti akaunti za magatuzi, ila mapendekezo yao yanalenga kuboresha utendakazi wa tume hiyo na kulainisha mchakato wa ugavi wa mapato kwa kaunti.