- 44,518 viewsDuration: 4:08Ubabe miongoni mwa viongozi wa upinzani umeshuhudiwa katika uzinduzi wa chama cha Linda Mwananchi na makao makuu yake, huku kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akizomewa na wafuasi wa Edwin Sifuna. Kalonzo alizomewa baada ya kudai kuwa Sifuna bado hajatosha kupata taji la mgombea urais. Sifuna amesisitiza azma yake ya kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma iwapo atachaguliwa kuongoza taifa mwaka ujao. Chama hicho kimetoa orodha ya viongozi watakaoendesha shughuli zake.