- 794 viewsDuration: 3:32Utata kuhusu uchaguzi wa wakurugenzi katika bodi ya sukari nchini unazidi kutokota, wakulima wa miwa katika kaunti za Busia na Siaya wakiibua maswali kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo ambao sasa unatarajiwa kufanyika jumamosi tarehe tano mwezi huu. Wakulima hao wanahisi kuna njama fiche ya kumnyima mkulima haki ya kuchagua wakurugenzi watakaoangazia masilahi yao