- 345 viewsDuration: 1:49Kwa baadhi ya vijana katika Kaunti ya Laikipia, maisha yalikuwa yamekosa mwelekeo, huku wengine wakitumia muda mwingi mitaani bila matumaini ya kupata ajira au kujitegemea kimaisha, huku vijana kutoka jamii za wafugaji wakikabiliwa na changamoto za kupata elimu.