- 3,717 viewsDuration: 3:45Ujenzi wa barabara unaoendelea katika mji wa Maralal, Kaunti ya Samburu, umeibua hisia mseto. Wafanyabiashara wanalalamikia hasara kutokana na kufungwa kwa njia za kuingia kwenye maduka yao na mchanga kumwagwa nje ya biashara zao. Hata hivyo, vijana walioajiriwa katika miradi hiyo wanaipongeza serikali kwa kuwapa ajira, huku wakazi wakitaka kazi hizo kuharakishwa ili kupunguza usumbufu.