Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote kaunti ya Lamu watarajiwa kuanza baada ya uzinduzi

  • | Citizen TV
    14,866 views
    Duration: 1:16
    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kinachopendekezwa katika Kaunti ya Lamu unatarajiwa kuanza mara moja baada ya uzinduzi wa mradi huo Jumatano wiki hii. Mradi huo unatarajiwa kuwa na mchango katika maendeleo ya eneo hilo na kutoa fursa mbalimbali kwa wakazi.