1 Sep 2025 11:59 am | Citizen TV 361 views Duration: 23:22 Tunaangazia Hali Ya Huduma Katika Hospitali Mashinani Je, Huduma Zimeimarika Katika Hospitali Za Mashinani? Wananchi Wanaweza Kumudu Gharama Za Matibabu? Je, Sha Imeimarisha Utoaji Wa Huduma Hospitalini?