1 Sep 2025 12:54 pm | Citizen TV 321 views Duration: 18:49 Tunaangazia Hali Ya Huduma Katika Hospitali Mashinani Je, Huduma Zimeimarika Katika Hospitali Za Mashinani? Wananchi Wanaweza Kumudu Gharama Za Matibabu? Je, Sha Imeimarisha Utoaji Wa Huduma Hospitalini?