- 8,747 viewsDuration: 3:04Ukuta Mkubwa wa Uchina ni mojawapo ya vivutio vikubwa zaidi vilivyojengwa na binadamu ulimwenguni kiasi cha kuorodheshwa kama turathi ya dunia na shirika la UNESCO. Ukuta huo wa zaidi ya kilomita 21 pia ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia na ulijengwa hususan kuikinga Uchina dhidi ya uvamizi kutoka nje. Hii leo, eneo hilo ni kivutio kikubwa kwa mamilioni ya watalii wanaozuru uchina. Boniface Barasa anatupa taswira kamili ya kibarua cha kuukwea ukuta huo.