Skip to main content
Skip to main content

Ulimwengu waadhimisha mwezi wa uhamasishaji dhidi ya kujitoa uhai

  • | Citizen TV
    465 views
    Duration: 4:20
    Kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kwa kujitoa uha, majonzi hayamaliziki siku ya mazishi. Wengine hubeba maumivu hayo kwa miaka, huku wengine wakibaki na lawama na maswali yasiyo na majibu kuhusu kilichowachochea wapendwa wao kukata tamaa ya kuishi. Katika Mwezi wa Uhamasishaji kuhusu Kuzuia Kujiua,