Skip to main content
Skip to main content

Upanuzi wa miji waongeza mahitaji ya maji na mifumo ya majitaka

  • | Citizen TV
    28 views
    Ukuaji wa haraka wa miji na maeneo ya pembezoni mwa miji nchini umeongeza shinikizo kwa huduma za maji na usafi, huku ongezeko la watu likiongeza pia shinikizo kwenye miundombinu iliyopo. Kupitia mpango wa maji safi na usafi wa mazingira kwa mMiji ya Kenya, miji mbalimbali inanufaika na upanuzi wa huduma za maji na mifumo ya maji taka, hatua inayolenga kuboresha afya ya umma na mazingira.