- 34 viewsDuration: 2:08Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana ya Dagoretti iliyoko katika kaunti ya Nairobi, John Kairo Ndathe amesifia juhudi za serikali za kuboresha na kupanua muundombinu shuleni humo akisema hatua hiyo imerahisisha usajili wa wanafunzi wa Gredi-10. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive