- 10,563 viewsDuration: 3:06Muungano wa vyama vya upinzani umeanza ziara yake katika eneo la Magharibi katika juhudi za kutafuta uungwaji mkono kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Viongozi hao wamewashtumu viongozi wakuu serikalini kutoka eneo la Magharibi wakidai kuwa waliwatumia wananchi kujinufaisha wenyewe. Viongozi hao wameeleza imani kuwa watamwondoa madarakani Rais William Ruto kupitia ushindi katika uchaguzi ujao.