Skip to main content
Skip to main content

Upinzani waendeleza ziara Magharibi wakilenga umoja wa kisiasa

  • | Citizen TV
    4,533 views
    Duration: 3:22
    Kwa siku ya pili,Viongozi wa upinzani wamekita kambi maeneo ya Magharibi huku sasa kikiwataka wakazi wa eneo la magharibi kutoshawishika kugawanyika kwenye uchaguzi mkuu ujao. Viongozi hao wamewasuta viongozi wa magharibi wakisema kuwa walijiunga na serikali ili kujitafutia shibe badala ya kutumia nafasi yao kuleta maendeleo magharibi. aidha viongozi hao wamesema kuwa wataungana ili kumwondoa ofisini rais william ruto.