- 421 viewsDuration: 1:48Muungano wa wananchi kuhusu marekebisho ya sheria za uchaguzi inayoongozwa na Aliyekuwa Jaji Mkuu David Maraga imeitaka IEBC kuweka Bayana Mikakati ya Uchaguzi wa urais mwaka wa 2027.Muungano huo ambao ni Tawi la Upinzani limepinga Kuweko kwa Kituo cha Kujmlisha Kura za Urais mwaka wa 2027 wakidai kwamba haijaruhusiwa Kikatiba. Pia wameitaka IEBC kuimarisha Teknolojia ya Uchaguzi kuzuia wizi wa Kura.