- 21,775 viewsDuration: 18:27Upinzani umeitaka IEBC kufanya uhakiki na kusafisha sajili ya wapiga kura kuelekea uchaguzi wa 2027. Viongozi wa upinzani pia wanataka tume kufanya mabadiliko katika teknolojia yake ili kuboresha ufanisi na uaminifu wa mchakato wa uchaguzi.