- 1,347 viewsDuration: 1:57Nao viongozi wa upinzani wameendelea kuituhumu serikali kwa njama ya kuwatenganisha. Viongozi hao, wakizungumza katika maeneo tofauti, wamepuuza madai kuwa tayari wameamua ni nani atakayekuwa mgombea wao wa urais. Sasa wakiwataka Wakenya kupuuza madai hayo, wameyataja kuwa ni njama ya Rais William Ruto ya kuwatenganisha.