- 467 viewsDuration: 3:29Kulingana na takwimu kutoka mamlaka ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya, Wakenya zaidi ya wanne kati ya mia moja wanakabiliwa na uraibu wa dawa za kulevya. Wadau sasa wanaonya kuwa uraibu huo umesababisha mamilioni ya fedha kupotea kutokana na waathiriwa kupoteza ajira na kushindwa kuwa na tija katika jamii.