5 Nov 2026 1:49 pm | Citizen TV 673 views Duration: 1:55 Wahudumu wa bodaboda katika Kaunti ya Machakos sasa wanalaumu uzembe wa baadhi ya madereva wa magari, wakisema tabia hiyo inachangia ongezeko la ajali za barabarani, hususan katika barabara kuu ya Nairobi-Mombasa.