Skip to main content
Skip to main content

Usalama wa uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    651 views
    Duration: 5:00
    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC Erastus Ethekon asema kwamba tume hiyo itawapiga marufuku wanasiasa na wawaniaji wa nyadhifa mbali mbali, watakaopatikana na hatia ya kutekeleza ghasia na fujo wakati wa kampeni za uchaguzi. Akizungumza katika mkutano kuhusu maandalizi ya usalama wa uchaguzi mkuu ujao jijiji Nairobi, alitangaza kwamba ukosefu wa vitambulisho miongoni mwa Wakenya ni changamoto kuu katika usajili wa wapiga kura nchini huku akitaka swala hilo liangaziwe na idara husika za serikali. Mkutani huo pia ulihudhuriwa na waziri wa usalama Kipchumba Murkomen