Skip to main content
Skip to main content

Ushuru wa chai wadaiwa kupunguza ushindani wa Kenya

  • | Citizen TV
    1,453 views
    Duration: 2:24
    Hatua ya serikali kutoza ushuru wa asilimia 0.8 kwa kila kilo ya majani chai inayouzwa nje ya nchi imedaiwa kuchangia wanunuzi kupendelea majani chai kutoka Rwanda, Uganda na Tanzania. Katika soko la wiki jana, chai kutoka Rwanda iliuzwa kwa shilingi 55 zaidi ikilinganishwa na ile ya Kenya. Chama cha Biashara ya Majani Chai Afrika Mashariki pamoja na wakulima sasa wanataka ushuru huo ufutiliwe mbali, kama Francis Mtalaki anavyoarifu.