Skip to main content
Skip to main content

Utalii wa kaunti ya Lamu watarajiwa kuimarika

  • | Citizen TV
    350 views
    Duration: 3:41
    Kama mojawapo wa mbinu za kukuza utalii wa kisiwa cha Lamu, serikali ya kaunti hiyo imeendeleza sherehe za Kiwayu zinazofayika kila mwaka kwa lengo hili la kufufua utalii wa Kisiwa cha Kiwayu-Mkokoni. Mikakati hii ikiwemo zaidi ya miaka kumi baada ya shambulizi la kigaidi la mwaka 2011 lilisababisha kutekwa nyara kwa raia wa kigeni.