Skip to main content
Skip to main content

Utata wa umiliki wa mashamba watatiza ujenzi wa barabara eneo la Mt.Kenya

  • | Citizen TV
    6,219 views
    Duration: 3:32
    Mivutano ya umiliki wa mashamba na hati za umiliki zisizo sahihi, vimetajwa kuwa vizingiti vikubwa vinanvyolemaza shughuli za ujenzi wa Barabara za eneo la kati, hata baada ya wakandarasi kurejea kazini baada ya serikali kuwalipa asilimia 40 ya madeni yao. Ni swala ambalo limekwamisha malipo ya shilingi bilioni 1.6 kwa wakazi wanaoishi kati ya Sagana na Marua, kwenye Barabara kuu ya Kenol kuelekea Nyeri na ambayo ujenzi wake unaendelea. Kamau Mwangi anaarifu