15 May 2026 7:56 pm | Citizen TV 5,498 views Duration: 58s Waziri wa Michezo Salim Mvurya amesema kuwa Uwanja wa Kimataifa wa Talanta, maarufu kama Raila Odinga Stadium, sasa umekamilika kwa asilimia 91 huku Kenya ikijiandaa kuwa mwenyeji wa AFCON 2027.