- 86,345 viewsDuration: 50sKanda ya video iliyosambaa mitandaoni ikimwonyesha mwanamume mmoja akimwagilia petroli gari katika kituo kimoja cha mafuta jijini Nairobi imezua hasira huku wengi wakihofia tabia zinazohatarisha usalama katika vituo vya mafuta.